DYNA-NAUMIA | DJ MWASA
Home » » DYNA-NAUMIA

DYNA-NAUMIA

Huu ndo wimbo ambao Dyna anadai Diamond amekopi bit na melody kwenye ngoma yake mpya
inayoitwa my number 1,inasemekana Dyna alitaka wafanye wote ngoma hiyo kwa Shedy Clever,
Diamond akakubali,alipo sikiliza mdundo akamuaidi Dyna wange fanya wote baadae Diamond
akamlubuni Shedy na kumwambia aachane na kazi ya dyana sikiliza ngoma hiyo ya dyna
                                                                     HAPA
                                  http://www.hulkshare.com/hd954javnitcdownload here

Unahitaji Website au Blog?Wasiliana na KADIR WAZIR: phone:0756164484 ; facebook ; instagram ; twitter

0 comments:

Post a Comment

VIDEO MPYA

NEW VIDEO GOSPEL

Powered by Blogger.

Search This Blog

Tags

Ad Banner

Comment